Now you can stream your call to millions via YouTube Live

SULUHISHO KWA MASHIRIKA

Timu bora, biashara na mashirika hupatana kwa Gumzo kufanya mikutano na kushirikiana.

Tumia Gumzo kushirikiana na kurahisisha kufanya maamuzi ya biashara. Gumzo ndiyo makao makuu ya mashirika yaliyoshikamana.

Wezesha ushirikiano mzuri na salama

Kazi zote na mikutano hapa Gumzo inafanyika kwenye vyumba vya mawasiliano. Hivi ni vyumba vilivyo salama, ambapo unaweza wasiliana na timu yako, mnaweza badilishana faili na kufanya maamuzi muhimu. Vyumba vya mazungumzo vya Gumzo vinaleta timu pamoja na kuhakikisha kila mtu ako pamoja.

Kazi nadhifu bila kupoteza muda

Kuifanya mikutano ukitumia Gumzo inakuwezesha kushirikina na watu kwa kasi, hii inapunguza idadi ya mikutano na barua pepe inayohitajika kukamilisha kazi. Mitambo yetu ya mawasiliano inakupa uhuru wa kuchagua jinsi unavyotaka kuwasiliana ikiwa ni kwa maandishi pekee,sauti ama video.

Ushirikiano mufti

Ukitumia Gumzo unawezajiunga na mazungumzo ama mkutano kutoka popote ulipo ukitumia kifaa chochote. Gumzo ni jukwaa lenye kasi sana, ni salama na lina vepengele kibao.

Jisajili ili kuanza kutumia

Utahitaji nambari yako ya simu tu ili kujisajili.
Tunakuahidi hatutawahi peana ama kuuza data yako kwa mtu yeyote ama kukutumia barua taka.
Skip to content