Now you can stream your call to millions via YouTube Live

Kitambulisho chako ni faragha na kisalama

Anzisha ama jiunge na mazungumzo kwa njia ya maandishi, sauti ama video kwenye mazingira ambayo ni salama. Tuko hapa kuhakikisha kuwa mawazo na maoni yako yanawasilishwa lakini habari yako inabaki faragha

Vipengele vya Gumzo

Hakuna kupimiwa hata kamwe, muda wa mazungumzo. Wasiliana na wenzako kwa muda uupendao, na hakikisha ujumbe wako umefika.

Video na Sauti

Mitandao yetu ya mawasiliano yanakupa uhuru wa kuchagua jinsi unavyotaka kuwasiliana. Tuna vyumba vya mawasiliano vinavoyo tumia njia ya maandishi pekee na ni bure, haulipii chochote. Kama wataka kuchangamsha maathiriano yako, chagua vyumba vya mawasiliano vinavyotumia sauti ama video angavu.

Mitambo Salama

Tumetekeleza sera madhubuti na kuwaweka wasimamizi kuhakikisha mitambo yetu ya mawasiliano ina kupa mahali salama pa kufanya mikutano na kuzungumza na wenzako. Tunavyo vituo vya wanawake pekee, vituo vya kibinafsi, na vituo vyenye mada kuhakikisha uko salama na unajivinjari.

Mwenyeji Afrika

Seva zetu zimehodhiwa hapa Afrika, ili kuifaidi Afrika. Hii inawezesha mawasiliano mwafaka na unauhakika kwamba maongezi yako hayapitishwi kwenye seva zilizoko Silicon Valley ama Uchina. Mitandao yetu ni ya kisasa na ya hali ya juu kuhakikisha signali yako haisafirishwi mbali.

Faragha ya Mawasiliano

Mifumo yetu ya mawasiliano ni dhabiti kuhakikisha faragha ya mawasiliano yako. Tunayo mifumo madhubuti inayohakikisha usalama na faragha ya mawasiliano yako. Mitambo yetu imesimbwa vilivyo kutumia teknolojia ya usalama wa mawasiliano. Kabla ya kujisajili, tunahitaji uthibitisho mwingi wa mtumiaji kuliko washindani wetu; mpango huu unatuwezesha kukulinda wewe.

Jisajili ili kuanza kutumia

Tunakuahidi hatutawahi peana ama kuuza data yako kwa mtu yeyote ama kukutumia barua taka. 

Skip to content